Wednesday, November 24, 2021

UKEKETAJI UNAWEZA UKAISHA

Uwanja wa vijana umegundua njia mpya ya kulimaliza tatizo ukeketaji nchini

Friday, November 5, 2021

JIBU lA WAMACHINGA NA BODABODA KUINGIA MJINI YAMEPATIKANA

Uwanja wa vijana umepata njia nzuri ambayo inaweza ikatumika ikasaidia kumaliza tatizo hilo kwa salimia 90

Monday, November 1, 2021

PONGEZI KWA MKOA WA DAR ES SALAAM

Uwanja wa vijana unakupongeza sana mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kwani ahadi yako umeitekereza na Dar es salamu mpya inaonekana

Sunday, October 10, 2021

WAFANYA BIASHARA WALIOKUWA WANAKWEPA KULIPA KODI SASA HAWATAWEZA KUKWEPA TENA

kuanzishwa kwa zoezi la kuwaondoa wamachinga sehemu zote ambazo sio lasmi itakuwa ni njia mojawapo itakayo itasaidia serikali kupata kodi ambazo zilikuwa zinaishia mifukoni kwa wajanja kwani haiwezikani vitu vikawa vinaingia madukani na haohao wenye maduka wanasema hatuuzi wanaouza ni hao wamachinga ambao hawalipi kodi hiyo haiwezekani kabisa

Friday, September 17, 2021

KUWAONDOA WAMACHINGA

 Uwanja wa vijana unayo njia nzuri inayoweza ikatumika katika KUWAONDOA WAMACHINGA  wanaofanya biashara sehemu zisizo husika na ikabaki historian Kama ilivyo toweka mifuko ya Rambo Tanzania

Thursday, September 16, 2021

PONGEZI KWA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM

 Uwanja wa vijana unakupongeza Sana kwa kazi zako unazo zifanya kwani maono uliyo nayo Nina uhakika Dar es salaam itarudi katika ubora wake na maneno yako yamenyooka tofauti na wengine wanapindisha maneno uwanja wa vijana unakuunga mkono na mungu akubariki sana

Thursday, September 2, 2021

UGUMU WA MAISHA

 Kuna baathi ya vijana wanalalamika kuwa MAISHA ni magumu ukiwauza wanamipango yoyote ya kuondoa UGUMU wanasema hawana ukiwauliza wanajishughurisha na kazi gani hawafanyi kazi yoyote ila ukiwangalia  wana simu za Bei kubwa pia watu hao wakipata kazi wanakuwa sio waminifu wanapenda mafanikio ya haraka Sasa nawauliza swali ni mwajiri gani anaye taka kuharibiwa mipango yake na mfanya kazi? vijana badirikeni MAISHA malaini yapo na MAISHA magumu yapo ni wewe kuchagua

MSICHANA ANAWEZA AKAENDESHA MAISHA BILA YA KUMTEGEMEA MWANAUME

 Uwanja wa vijana umegundua kuwa mwanamke ANAWEZA kuendesha MAISHA yake bila ya KUMTEGEMEA MWANAUME muradi yeye akiamua na kujipanga nakupanga Mambo yake vizuri,kwani mtu yoyote akiwa tegemezi anaingia kwenye kifungo Cha utumwa na kufifisha maono na ndoto aliyekuwa nayo mtu huyo, mwisho wake ni kuwa masikini na kuwa kwenye majuto maishani mwake labda umpate mtu anayeweza akakuunga mkono maono yako lakini niwachache sana hayo yote yanategemeana na kile unachokiamini wewe

Thursday, August 5, 2021

VYANZO VYA MAJENGO KUUNGUA MOTO

 Uwanja wa vijana umegundua vyanzo mbalimbali vya majengo nyumba,mashule,mbalimbali kuungua Moto na umegundua njia zinazo weza kusaidia kuzuia Mambo hayo yasitokee

Wednesday, July 14, 2021

TANZANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA

 Uwanja wa vijana unawasisitiza WATANZANIA kuwa nchi inajengwa na sisi wenyewe tukionyesha ushirikiano wetu kwa serikali katika kufanya kazi,kulipa Kodi,kulinda miundo mbinu pia kumuombea Rais wetu mpendwa  tutafika mbali bila ya hivyo hatutafika kwani Rais wetu mpendwa yupo vizuri Sana Ana rengo zuri la kutufikisha pazuri lakini anahitaji ushirikiano wetu

Wednesday, June 30, 2021

PONGEZI KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

 Uwanja wa vijana unakupongeza sana kwa kazi zako nzuri unazo zifanya tunakuombea kwa mungu akulinde akupe hekima kwa kila jambo utakalo liamua tunajua kazi ya uongozi sio kazi nyepesi lakini tunaona unatuongoza vizuri hata hutuba zako vinamvutia mtu aendelee kukusikiliza

Saturday, June 5, 2021

WAMACHINGA NI HATARI KWA UCHUMI

 Uwanja wa vijana umegundua mambo mengi yaliyo jificha ndani ya biashara ya wamachinga .1,kunawatu wanajifanya wamchinga wakati wanamitaji mikubwa na wanakwepa kulipa kodi ya serikali,2.kuna watu wamezifunga njia za watembea kwa miguu,watu wanapi barabarani,3.kuna watu wamejenga mabanda kumbe nyumba za kuishi,4.kuna watu wanalipa kodi serikalini lakini maduka yao yamezibwa na wamachinga na hawauuzi vitu vyao mimi.swali langu serikali itapaje kodi yake?

Thursday, May 27, 2021

PONGEZI KWA SERIKALI

 Uwanja vijana unaipongeza serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kulisimamia vizuri swala zao LA michikichi kwani ni jambo zuri sana Ila ombi langu  kwa watanzania ni kuiunga mkono serikali kwa hayo maono, hiyo ni fursa adimu kwani kila jambo linawezeka chini ya jua mladi tu mwananchi akitoa ushirikiano mzuri kwa serikali yake

Monday, May 24, 2021

UBUNIFU WENYE MATOKEO CHANYA

 Uwanja wa vijana umebuni njia mpya ambayo inaweza kuziondoa changamoto zinazo wakumba vijana na watanzania  Mfano ajira,kilimo,biashara,hali ngumu ya maisha,mfumuko wa bei za vitu mbalimbali,n.k

Thursday, May 13, 2021

PONGEZI KWA SERIKALI

 Uwanja wa vijana unaipongeza serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kulifanyia upya swala la wamachinga kufanya biashara zao bila mpangilio kwani imekuwa kero sana,kwani hata familia isiyo na mpangilio ukiowa au kuolewa nayo utajuta,kufanya biashara haikatazwi  Ila kwa hili limefika mwisho  japo wengine wasio na jicho LA tatu watalaumu nibora lawama kuliko mathara yanayo jitokeza na yatakayo jitokeza hasa kwa jiji LA Dar,es salaamu Mimi nipo hapa kwa mda was miaka 26  iliyo pita

Wednesday, May 5, 2021

PONGEZI KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSANI KUHUTUBIA BUNGE LA KENYA

 Uwanja wa vijana unakupongeza sana kwa hutuba yako ni nzuri sana kwani nimekusikiliza moja kwa moja kupitia mtandao mpaka mwisho uwanja wa vijana unakutakia maisha marefu ili watanzania tuinuke kiuchumi mungu akubariki sana

Monday, May 3, 2021

PONGEZI KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

 Uwanja wa vijana unakupongeza sana kwa kazi yako nzuri na inautofauti kwani Nina uhakika watanzania tutafanikiwa kiuchumi kwani MTU yoyote ambaye anataka kufanikiwa lazima avijue vikwazo na ajue jinzi ya kuviondoa na nawahimiza watanzani wenzangu tumuunge mkono Rais wetu ila nawahimiza sana vijana wafanye kazi kwani nuru imengia Tanzania

Wednesday, April 28, 2021

KUTOFANIKIWA KWA VIJANA WA KITANZANI

 Vijana wa kitanzania wengi wanashindwa kufanikiwa kimaisha  kwa sababu wanapenda sana pesa kuliko kazi na hata ukimpa mshahara wake bado atatafuta njia za kuchakachua,pia swala LA kujituma hawezi mpaka umsimamie,swala LA ku wai kazini atawai Siku ile ya kwanza tu baada ya hapo ni malalamiko na visingizio haviishi baadae utamsikia kazi mbaya,mshahara mdogo,bosi anazingua ,swala la uwaminifu hawana kwa %95 ukimwamini tu kakuacha nk swali kwa vijana kazi na mshahara kipi cha kwanza?

Sunday, April 25, 2021

KAZI YA KUJITOLEA KWA SERIKALI

 Uwanja vijana unaomba nafasi ya kazi ya kujitolea kwa sehemu zifutazo

1.kuzuia mifereji yote inayo pitisha utevu was pesa kwenye mabasi ya mwendo kasi

2.kupunguza kwa kasi vijana kuingia mjini

3.njia ambazo zinaweza kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula nchini

4.kupunguza ugumu wa biashara nchini 

5.kupunguza tatizo LA ajira kwa vijana nchini

Tuesday, April 20, 2021

MABASI YA MWENDOKASI

 Uwanja wa vijana umegundua jinsi hela zinavyo potea kwenye mabasi ya mwendokasi na  najua jinsi ya kuzuia upotevu huo

Sunday, April 18, 2021

MFUMUKO WA BEI WA VITU

 Uwanja wa vijana umegundua vyanzo mbalimbali vinavyo sababisha vitu kupanda bei na pia umegundua njia mbalimbali ambazo zikitumika zitamaliza mfumuko wa being nchini kuanzia

1.mafuta ya kula

2.sukari

3.mazao ya chakula nk

MAMBO MUHIMU KWA VIJANA WA KITANZANIA

 Uwanja wa vijana umegundua mambo mapya na muhimu ambayo yakifanyiwa kazi vijana wa kitanzania wataondokana na  

1.tatizo LA ajira

2.vijana kukimbilia mjini

3.vijana waweze kujiajiri wanapo maliza masomo yao

4.vijana waweze kumiliki uchmi

Wednesday, April 7, 2021

JE?UNAMJUA RAIS ALIYE WEKA HISTORIA TANZANIA?

 Rais aliye weka historia tangu nchi ipate Uhuru wake mwaka 1961  ni  Rais Samia Suluhu Hassani -mama yetu mpendwa mwenye kuona mbali kama ndege tai Uwanja wa vijana unakupongeza sana na mungu akubariki sana tunaimani na wewe sana na Tanzania itakuwa mpya zaidi kwani kazi yako ni nzuri sana matunda tumeanza kuyaona mapema tangu uanze kutu tumikia wananchi  tarehe 19,mach,2021

Sunday, April 4, 2021

UGUMU WA MAISHA KWA VIJANA WA KITANZANIA UNATOKANA NA WAO WENYEWE

 Uwanja was vijana umegundua njia ambazo kijana wa kitanzania anaweza akazitumia ili maisha yake yakawa mepesi sana kuliko aliyo nayo sasa

Friday, April 2, 2021

WAMACHINGA KUKAA BILA MPANGILIO NI HATARI KWA UCHUMI

 Uwanja wa vijana umeona kitu ambacho kinaweza kikatokea mbele kwa wamachinga wanavyokaa bila mpangilio wakifanya shughuri zao pia uwanja wa vijana umegundua njia inayo weza ikatumika kuwaondoa wamachinga 

Thursday, April 1, 2021

NANI KAMA MAMA?

-Hakuna kama mama duniani

-Vyovyote alivyo mama no mama

-Hakuna mama bandia

1.UPANDE WA MAFANIKIO

-Hakuna mwaume aliyefanikiwa bila kuwepo mwamke nyuma take

-Mwanamke anaweza bila kuwezeshwa Bali mradi apewe nafasi

-Mungu alimuamini mwanamke kubeba mimba miezi 9

-Ili mtu ufanikiwe mambo yako hapa duniani lazima msikilize mama

2.MAMBO YA NDOA

-mwanamke yupo tayari kuomba msamaha kwa mwenzake kuliko mwanaume

-mama yupo tayari kufa na mwanae lakini baba hayupo tayari

-Wanaume wengi wanakufa mapema kuliko wanawake kwasababu wana yabeba mambo mengi moyoni kuliko wanawake

-