Thursday, May 13, 2021

PONGEZI KWA SERIKALI

 Uwanja wa vijana unaipongeza serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kulifanyia upya swala la wamachinga kufanya biashara zao bila mpangilio kwani imekuwa kero sana,kwani hata familia isiyo na mpangilio ukiowa au kuolewa nayo utajuta,kufanya biashara haikatazwi  Ila kwa hili limefika mwisho  japo wengine wasio na jicho LA tatu watalaumu nibora lawama kuliko mathara yanayo jitokeza na yatakayo jitokeza hasa kwa jiji LA Dar,es salaamu Mimi nipo hapa kwa mda was miaka 26  iliyo pita

No comments:

Post a Comment