NJIA AMBAZO UNAWEZA UKAZITUMIA KUMPATA MWENZA SAHIHI KATIKA NDOA YAANI YULE WA KUFANANA NA WEWE.
1. Maombi
2. Imani moja.
3. Maono ya pamoja.
4. Mtizamo na misimamo ya pamoja.
5. Utayari
6. Kujitambua.
7. Upendo.
ANGALIZO KWA VIJANA WANAOTAKA KUOA AU KUOLEWA.
1. Si kila kabila linafaa kuoa au kuolewa nalo
2. Si kila mwanamke anafaa kua mke
3. SI kila mwanaume anafaa kua mume
SABABU MBAYA ZINAZO WA PELEKEA VIJANA WAINGIE KWE NDOA
1. UPANDE WA WASICHANA
a. kwa ajiri ya kuchoka kukaa nyumbani
b. umri umekwenda
c. kwa ajiri ya kutaka aondoe mkosi
d. anataka nae achangiwe vyombo
e. anataka kujenga heshima mtaani
f. anataka kusafili
g. anataka kupandiswa cheo
h. wenzake wameolewa
i. mdogo wake kaolewa
j .kapewa mimba.
k. analipa fadhila
l. kwa ajiri ya wazazi
m. kampata mtu mwenye pesa,elimu,maarufu.mwenye muenekano
mzuri,kwao awnauwezo nk
n. anataka kuzaa motto
o. kachoka kudanga
p. amevutiwa na mambo ya uwanjani
2. UPANDE WA WAVULANA
a. kwa ajiri umli umekwenda
b. kwa ajiri kachangia sana watu
c. kwa ajiri ya kuwa furaisha wazazi
d. kutaka kusafiri
e. wenzake wameowa au mdogo wake anataka kuowa [ameoawa]
f. kutaka kupandiswa cheo
g. kampa mimba msichana
h. analipa fathira
i. anataka kujenga heshima mtaani
j. kachoka kala mgahawani
k. anataka kupata watoto
l. kwa ajiri ya kulindiwa nyumba,kufuliwa,kupokewa wageni
m. kachoka kudanga
n. amempata mwanamke ambae kwao hera zipo
o. amempata mtu mwenye muonekano wa kuvutiwa
p. mevutiwa na mambo ya uwanjani nk
SWALI ULIYE NAE WEWE LEO ULITUMIA VIGEZO GANI?
KWA SUALA LA NDOA KWA VIJANA;
A. WASICHANA WANASEMA HAKUNA WAOAJI
NA
B. WAVULANA WANASEMA HAKUNA WAOLEWAJI.
SWALI: JE NI KWELIII?????????
ZAWADI ITATOLEWA YA VOCHA KWA YOYOTE ATAKAYE PATA.
TUTUMIE JIBU LAKO KUPITIA; NO; 0717 49 66 44
No comments:
Post a Comment