Monday, September 16, 2019

WAZO JIPYA KWA JIJI LA DAR ES SALAAM.


Wazo jipya kwa jiji la dar es salaam : 

Uwanja wa vijana umegundua njia mpya ambayo inaweza ikatumika kwa swala la boda boda kuingia mjini kwa usalama na amani na kuingizia jiji la Dar Es Salaam Tsh. Milioni 50 kwa siku.

No comments:

Post a Comment