Uwanja wa vijana umegundua kuwa kuna watu wamekwama kimaisha
lakini mitaji wanayo lakini hawaioni, uwanja wa vijana una uwezo wa kuvigeuza
vitu ulivyo navyo vikawa mtaji au ukasaidiwa kuvizalishia na ukapata pesa
baadhi ya vitu ulivyo navyo wewe ni pamoja na; uwanja usio jengwa, jengo lisilo
isha, nyumba ambayo haujaimaliza, magari yasiyo tembea, bajaji, pikipiki, mashine
mbalimbali, mota mbali mbali, una gari lakini halikuingizii chochote zaidi ya
kukuchumoa hela zako, unavyombo ndani mpaka vingine unatafuta sehemu pa kuvitupa, na
vingine unavyo na unatembea navyo mkononi kila siku baadhi ni pamoja na ; simu,
kompiuta, saa, cheni nk.
No comments:
Post a Comment