FAIDA AMBAZO ZITAPATIKANA KWA KUANZISHWA KWA UWANJA WA VIJANA KATIKA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NI HIZI ZIFUATAZO:-
FAIDA AMBAZO ZITAPATIKANA KWA KUANZISHWA KWA UWANJA WA VIJANA KATIKA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NI HIZI ZIFUATAZO:-
- Kupunguza swala la uhalifu nchini na kulipunguzia mzigo mkubwa iliyonao Jeshi la Polisi nchini.
- Kupuguza kesi Mahakamani na kuipunguzia Mahakama mzigo.
- Kuinua uchumi wa nchi.
- Kupunguza ajali za barabarani.
- Kusadia serikali kuingiza mapato.
- Kupunguza swala la kuvunjika kwa ndoa nchini.
- Kupunguza mauaji ya watu wenye Albino kwa imani za ushirikina.
- Kupunguza migogoro ya ardhi nchini. Kupunguza ajari za barabaran
- Kupunguza kwa watu wanao omba omba na watoto mtaani.
- Kupunguza kwa mmonyoko wa maadili nchini.
- Kuongezeka kwa wawekezaji nchini.
- Kuongezeka kwa watalii nchini n.k.
- Kupunguza kwa vitendo viovu nchini.
- Itazuia upotevu wa pesa zinazotolewa na serikali kwa ajili ya maendeleo ya wananchi nchini, kama zilivyopotea mamilioni ya J.K. sitaruhusu kupotea hata senti 50.
- Itawadhibiti wezi wa miundo mbinu ya umeme na barabara hasa mkoani wa morogoro na mikoa mingine nchini.
- Tutawadhibiti watu wanaokimbia na hela za mikopo katika mabenki na taasisi za fedha nchini.
No comments:
Post a Comment