Uwanja wa vijana utashirikiana na mafundi mbalimbali, makampuni mbalimbali, wauuzaji wa vifaa mbalimbali na wataalamu na wenye taaluma mbalimbali ili kufanikisha Marengo yetu pia uwanja wa vijana utatoa elimu mbalimbali.
- Baadhi ya mafundi tutakaoshilikiana nao. ujenzi, magari katika matengenezo ya injini, baod, kuchanganya rangi, cctv camera, kushona nguo, maturubai, kuchora,umeme wa magari, majumbani, viwandani, vifaa vyote vinavyo tumia umeme, inverter, solar power, mota, rangi na kuchanganya rangi, cherehani, mota,jenereta, kompiuta, pikipik, bajaji, mambo ya ramani, kufunga vinga`muzi vya magari,kupauwa nyumba, selemala, bomba, kuchomea, kuchonga vipuli, AC za magari, majumbani, kompresa, simu za mkononi nk.
- Mafundi wetu wanafanya kazi tofaut na mafundi wengine, sisi tunafanya kazi kwanza pesa inafata baadaye kwa awamu, pia unakagua kwanza ndipo unalipia kazi yako.
- Baadhi ya elimu tutakazo zitoa
- mahusiano
- biashara
- mafanikio
- usalama barabarani
- miradi
- Malezi ya watoto
- BAADHI YA MAKAMPUNI TUTAKAO SHIRIKIANA NAO
- Waagizaji wa magari
- wauzaji wa magari na kusafirish
- Wauzaji wa siepear za magari,bajaji,pikipiki
- wauzaji wa vifaa vya ujenzi
- wauuzaji wa vifaa vya umeme
- wauzaji wa madawa ya binadamu na mifugo
Wataalamu wa taaluma za aina mbalimbali
- Ushauri juu ya mambo yafuatayo; mahusiano ,biashara, miradi, kiuchumi ,ndoa, maisha nk
- Tiba mbalimbali.
No comments:
Post a Comment