Rais aliye weka historia tangu nchi ipate Uhuru wake mwaka 1961 ni Rais Samia Suluhu Hassani -mama yetu mpendwa mwenye kuona mbali kama ndege tai Uwanja wa vijana unakupongeza sana na mungu akubariki sana tunaimani na wewe sana na Tanzania itakuwa mpya zaidi kwani kazi yako ni nzuri sana matunda tumeanza kuyaona mapema tangu uanze kutu tumikia wananchi tarehe 19,mach,2021
No comments:
Post a Comment