Wednesday, April 28, 2021

KUTOFANIKIWA KWA VIJANA WA KITANZANI

 Vijana wa kitanzania wengi wanashindwa kufanikiwa kimaisha  kwa sababu wanapenda sana pesa kuliko kazi na hata ukimpa mshahara wake bado atatafuta njia za kuchakachua,pia swala LA kujituma hawezi mpaka umsimamie,swala LA ku wai kazini atawai Siku ile ya kwanza tu baada ya hapo ni malalamiko na visingizio haviishi baadae utamsikia kazi mbaya,mshahara mdogo,bosi anazingua ,swala la uwaminifu hawana kwa %95 ukimwamini tu kakuacha nk swali kwa vijana kazi na mshahara kipi cha kwanza?

No comments:

Post a Comment