Thursday, September 2, 2021

UGUMU WA MAISHA

 Kuna baathi ya vijana wanalalamika kuwa MAISHA ni magumu ukiwauza wanamipango yoyote ya kuondoa UGUMU wanasema hawana ukiwauliza wanajishughurisha na kazi gani hawafanyi kazi yoyote ila ukiwangalia  wana simu za Bei kubwa pia watu hao wakipata kazi wanakuwa sio waminifu wanapenda mafanikio ya haraka Sasa nawauliza swali ni mwajiri gani anaye taka kuharibiwa mipango yake na mfanya kazi? vijana badirikeni MAISHA malaini yapo na MAISHA magumu yapo ni wewe kuchagua

No comments:

Post a Comment