Thursday, September 2, 2021

MSICHANA ANAWEZA AKAENDESHA MAISHA BILA YA KUMTEGEMEA MWANAUME

 Uwanja wa vijana umegundua kuwa mwanamke ANAWEZA kuendesha MAISHA yake bila ya KUMTEGEMEA MWANAUME muradi yeye akiamua na kujipanga nakupanga Mambo yake vizuri,kwani mtu yoyote akiwa tegemezi anaingia kwenye kifungo Cha utumwa na kufifisha maono na ndoto aliyekuwa nayo mtu huyo, mwisho wake ni kuwa masikini na kuwa kwenye majuto maishani mwake labda umpate mtu anayeweza akakuunga mkono maono yako lakini niwachache sana hayo yote yanategemeana na kile unachokiamini wewe

No comments:

Post a Comment