Saturday, June 5, 2021

WAMACHINGA NI HATARI KWA UCHUMI

 Uwanja wa vijana umegundua mambo mengi yaliyo jificha ndani ya biashara ya wamachinga .1,kunawatu wanajifanya wamchinga wakati wanamitaji mikubwa na wanakwepa kulipa kodi ya serikali,2.kuna watu wamezifunga njia za watembea kwa miguu,watu wanapi barabarani,3.kuna watu wamejenga mabanda kumbe nyumba za kuishi,4.kuna watu wanalipa kodi serikalini lakini maduka yao yamezibwa na wamachinga na hawauuzi vitu vyao mimi.swali langu serikali itapaje kodi yake?

No comments:

Post a Comment