Uwanja wa vijana unao uwezo wa kubuni vyanzo mbalimbali vya mapato kuanzaia ngazi ya mtu mmoja mmoja, familia, ukoo, kijiji, kata, wilaya hadi mkoa.
NI UWANJA WA KUTENGENEZA AJIRA KWA VIJANA NA KUWAWEZESHA KIUCHUMI, PAMOJA NA KUWABORESHEA WASTAAFU MAISHA YAO
Tuesday, November 26, 2019
MWELEKEO WA VIJANA TANZANIA
Uwanja wa vijana unayo majibu juu ya mweelekeo wa wa vijana Tanzania kuanzia mwaka 2019 hadi mwaka 2035.
Wednesday, October 16, 2019
WAKULIMA... WAKULIMA
Uwanja wa vijana umegungua njia mpya ambazo zitasaidia wakulima wapate masoko ya
mazao yao na kupeleka popote duniani sio
kama hivi sasa mazao ya wakulima yanaozeea mashambani na masokoni na kuwavunja moyo wakulima na kuwanufaisha
madalali.
Monday, October 7, 2019
TANZANIA TANZANIA
WAZAZI WAZAZI
Uwanja umegundua njia mpya ambayo inaweza kusaidia
kumrekebisha motto mtukutu tabia
TANESCO TANESCO
Uwanja wa vijana umegundua njia mpya ya kumaliza
tatizo la wizi wa mafuta ya transifoma mikoa yote ya Tanzania
TANZANIA TANZANIA
Uwanja wa vijana umegundua njia mpya ya kulimaliza
swala panya road nchini na wezi wa miundombinu ya barabara vikiwemo vyuma na
alama za barabarani.
GARI ZA MWENDO KASI DAR ES SALAAM
Uwanja wa vijana ugundua jinsi ya mapato yanavyo potea
kwenye mwendo kasi mamilioni kwa mwezi
Hasa yatakavyo potea kwenye ruti ya mbagala ikianza.
Pia uwanja wa vijana unazonjia zakutumia ili kuzui upotevu huo
TANGAZO KWA WAFANYA BIASHARA KWA TRA.
a. Zijue faida za kulipa kodi
TRA
b. zijue hasara za kutolipa kodi TRA
c. Jua jinsi ya kupangilia biashara yako ili ujue jinsi ya kulipa kodi.
c. Jua jinsi ya kupangilia biashara yako ili ujue jinsi ya kulipa kodi.
Na jua jinsi ya kupangilia biashara yako ili ulipe kudi bila
kujitia hasara mwenyewe
MADALALI MADALALI
uwanja wa vijana unashirikiana na Madalali wa aina
mbalimbali kama vile;
1. Viwanja
2. Nyumba
3. Vyumba
4. Magari
5. Bajaji.
6. Pikipiki.
Kazi zetu zinafanywa tofauti na madalali wengine sisi kazi
kwanza malipo baadaye.
Friday, September 20, 2019
OFA,OFA KWA MTU ANAETAKA KUONGEZA KIPATO KWENYE MAISHA NA KUONDOKANA NA UGUMU WA MAISHA BILA KUWA NA MTAJI
Uwanja wa vijana umegundua kuwa kuna watu wamekwama kimaisha
lakini mitaji wanayo lakini hawaioni, uwanja wa vijana una uwezo wa kuvigeuza
vitu ulivyo navyo vikawa mtaji au ukasaidiwa kuvizalishia na ukapata pesa
baadhi ya vitu ulivyo navyo wewe ni pamoja na; uwanja usio jengwa, jengo lisilo
isha, nyumba ambayo haujaimaliza, magari yasiyo tembea, bajaji, pikipiki, mashine
mbalimbali, mota mbali mbali, una gari lakini halikuingizii chochote zaidi ya
kukuchumoa hela zako, unavyombo ndani mpaka vingine unatafuta sehemu pa kuvitupa, na
vingine unavyo na unatembea navyo mkononi kila siku baadhi ni pamoja na ; simu,
kompiuta, saa, cheni nk.
UTAJIRI..UTAJIRI KWA VIJANA
Uwanja wa vijana umegundua njia ambazo kijana anaweza akazitumia katika kutafuta pesa ili awe tajiri au mtu mwenye mafanikio makubwa au Milionea katika kipindi hiki hiki cha Mheshimiwa.
Wednesday, September 18, 2019
DAR ES SALAAM
Uwanja wa vijana umegundua;
Umegundua vyanzo mbali mbali
vya upotevu wa mapato katika miradi ya mkoa wa dar es salaam na umepata
njia mpya ambayo ikitumika haita potea hata sent 50.
Wasomi Wasomi Tanzania.
Uwanja wa vijana unayo plani b,ambayo wasomi wanaotoka
vyuoni wakitumia wataondokana na tatizo la ajira linalo wakabili baada ya kumaliza masomo yao.
TANZANIA... TANZANIA
Uwanja
wa vijana umegundua mambo yafutayo;
- Umegundua njia ambayo watanzani wanaweza wakatumia ili waweze kutoka katika hali ngumu ya kiuchumi waliyo nayo watu wengi.
- Umegundua vyanzo mbalimbali ambavyo vinaweza vikatumika ili watanzania wakwamuke hapo walipo au vitu vinavyo sababisha watanzania wakwame.
- Umegundua njia mpya ambayo inaweza kutumika ili Tanzania ingie kwenye uchumi wa kati na nchi ya viwanda.
Monday, September 16, 2019
WAZO JIPYA KWA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Uwanja wa vijana
umegundua njia mpya ambayo inaweza ikatumika kwa swala la boda boda kuingia
mjini kwa usalama na amani na kuingizia jiji la Dar Es Salaam Tsh. Milioni 50 kwa
siku.
Friday, September 13, 2019
SHUGHULI ZA UZALISHAJI MALI;
·
- Uwanja wa vijana pia unajishughulisha na shughuli za uzalishaji mali kwa kutumia njia mbalimbali kama vile;
a) Kuuza
na kununua mawazo ya biashara (Miradi).
b) Kufanya
biashara za aina mbalimbali na watu ambao wamebanwa na majukumu mengine mfano;
mtu anaweza akatoa pesa zake kiasi chochote tunamzalishia faida kwa mwezi
kuanzia 10% - 15% hadi 20% na mtaji unabakia palepale.
c) Unaweza
ukatoa kitendea kazi mfano gari lenye thamani ya Tsh 4,000,000/= tunakuzalishia
Tsh. 6,000,000/= ndani ya miezi 12 na gari linabakia kuwa letu.
d) Tunaongeza
vipato vya watu kutokana na rasilimali walizonazo au hata kama hana.
e) Tunawasikiliza
watu mahitaji yao ya aina mbalimbali.
f) Tunawaandaa
vijana wanaotaka kuanza maisha ya kujitegemea, pia na kuwachagulia njia sahihi
ya maisha.
g) Tuna uwezo wa kuzigeuza rasilimali za mtu kuwa mtaji.
g) Tuna uwezo wa kuzigeuza rasilimali za mtu kuwa mtaji.
- Tunatoa elimu za aina mbalimbali kama vile;
a) Ujasiriamali
na Uchumi, mkopo na mahusiano.
b) Mchango
wa mradi au biashara.
- Tunatoa Huduma kwenye biashara/miradi kama vile;
i.
Kukagua eneo la mradi au biashara kama
lipo mahali sahihi au sio sahihi.
ii.
Kupima mradi au biashara kama huduma
zake zina viwango au hazina.
iii.
Kupima wafanyakazi wa mradi/ Biashara
kama wanafaa au hawafai.
iv.
Kukagua bidhaa zinazouzwa au kuzalishwa
hapo kama zina viwango au hazina viwango.
v.
Kupima viwango vya huduma vinavyotolewa
kwenye biashara/mradi kama vipo sawa au sio sawa.
- Tunatoa huduma mpya zifuatazo kama vile;
i. Weka pesa, pata pesa ndani ya masaa 24,
siku, wiki, mwezi.
ii. Tunawaandaa watu wanaokaribia kustaafu
kazi na kuwaingiza katika ujasiriamali.
iii. Tunawaandaa watu wanaotarajia kupata
pesa za urithi au pesa amabazo hawajawahi kuzishika kwa pamoja
iv. Tunashughulika na kuwabadilisha watoto
tabia na vijana walioshindikana (Watukutu).
v. Tunamuandaa na mtu anayetakata kuanzisha
mradi mpya au biashara.
- Tunafanya vitu vya tofauti kama vile;
a) Tuna
uwezo wa kuzigeuza changamoto, kua mradi
b )Tunabuni
vyanzo vya mapato, kuanzia mtu binafsi kua mtaji.
c) Tuna
uwezo wa kuzigeuza rasilimali za mtu binafsi kua mtaji.
d) Tuna
uwezo wa kumrudisha mwanandoa aliyekimbia familia yake.
e) Tunatoa
ushahuri juu ya mambo mbalimbali.
f) Tunatafsiri
ndoto mbalimbali.
g) Tunatoa
majibu ya vipaji vya watoto.
h) Tunawakaribisha
wafanyakazi wanaotaka kuanza maisha mapya ya ujasiriliamali.
i) Tunawakaribisha wasomi waliokwama
kutimiza ndoto zao walijiwekea kupitia elimu zao.
j) Tuna uwezo wa kukuza uchumi, kuanzia
ngazi ya familia, kijiji, kata, wilaya, mkoa hadi taifa.
- Tunatoa Huduma za ziada za kimaendeleo mfano;
a) Kwa
mtu anayetaka knunua au kujenga fremu za biashara au kufanya mradi
b) Kwa
mtu ambaye anataka kununua shehemu ya kujenga vyumba vyya kuishi au kufanya
biashara
c) Kwa
mtu anayetaka kununua gari la biashara, mradi au kutembelea
d) Kwa
mtu anayetaka kuishi maisha mazuri katika kipind hiki ambacho watu wengi
wanasema hali ngumu.
- Tunatoa majibu ya papo kwa hapo kwa mambo yafuatayo;
Elimu, Mafanikio,
Mahusiano, Ajira, Maisha Uzazi, Biashara na ndoa. N.k.
NB:
TUNAWAKARIBISHA VIJANA WENYE MAWAZO CHANYA KUFANYA KAZI NASI.
NB:
TUNAWAKARIBISHA VIJANA WENYE MAWAZO CHANYA KUFANYA KAZI NASI.
Thursday, September 12, 2019
UWANJA WA VIJANA UMEPATA UFUMBUZI WA MAMBO YAFATAYO;
UWANJA WA VIJANA UMEPATA UFUMBUZI WA MAMBO YAFATAYO;
- Tanzania kuingia kwenye nchi ya viwanda
- Tatizo la ajira kwa vijana
- Tatizo la vijana kukimbilia mjini hasa jiji la Dar Es Salaam.
- Tatizo la migogoro kati ya wakulima na wafugaji.
- Tatizo la migogoro ya ardhi nchini.
- Tatizo la mfumuko wa bei ya mazao ya chakula nchini.
- Tatizo la Ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto.
- Tatizo la ndoa za utotoni
- Tataizo la foleni za magari jijini Dar Es Salaam.
- Tatizo la kujaa kwa maji na kuziba mifereji jijini dar es Salaa wakati wa mvua.
- Tatizo la kuongeza na kupanuka kwa mto msimbazi na kuleta madhara kwa wananchi.
- Tatizo la watoto mbwa mwitu au panya Road.
- Tatizo la mafuriko nchini na kubomoka kwa madaraja sehemu mbalimbali.
- Tatizo la kuvunjika kwa ndoa za vijana nchini.
- Tatizo la kuongezeka kwa kesi mahakamani nchini.
- Magereza ya Tanzania yawe na uzalishaji kupitia wafungwa wao.
FAIDA AMBAZO ZITAPATIKANA KWA KUANZISHWA KWA UWANJA WA VIJANA KATIKA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NI HIZI ZIFUATAZO:-
FAIDA AMBAZO ZITAPATIKANA KWA KUANZISHWA KWA UWANJA WA VIJANA KATIKA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NI HIZI ZIFUATAZO:-
- Kupunguza swala la uhalifu nchini na kulipunguzia mzigo mkubwa iliyonao Jeshi la Polisi nchini.
- Kupuguza kesi Mahakamani na kuipunguzia Mahakama mzigo.
- Kuinua uchumi wa nchi.
- Kupunguza ajali za barabarani.
- Kusadia serikali kuingiza mapato.
- Kupunguza swala la kuvunjika kwa ndoa nchini.
- Kupunguza mauaji ya watu wenye Albino kwa imani za ushirikina.
- Kupunguza migogoro ya ardhi nchini. Kupunguza ajari za barabaran
- Kupunguza kwa watu wanao omba omba na watoto mtaani.
- Kupunguza kwa mmonyoko wa maadili nchini.
- Kuongezeka kwa wawekezaji nchini.
- Kuongezeka kwa watalii nchini n.k.
- Kupunguza kwa vitendo viovu nchini.
- Itazuia upotevu wa pesa zinazotolewa na serikali kwa ajili ya maendeleo ya wananchi nchini, kama zilivyopotea mamilioni ya J.K. sitaruhusu kupotea hata senti 50.
- Itawadhibiti wezi wa miundo mbinu ya umeme na barabara hasa mkoani wa morogoro na mikoa mingine nchini.
- Tutawadhibiti watu wanaokimbia na hela za mikopo katika mabenki na taasisi za fedha nchini.
Subscribe to:
Posts (Atom)