Uwanja vijana unaipongeza serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kulisimamia vizuri swala zao LA michikichi kwani ni jambo zuri sana Ila ombi langu kwa watanzania ni kuiunga mkono serikali kwa hayo maono, hiyo ni fursa adimu kwani kila jambo linawezeka chini ya jua mladi tu mwananchi akitoa ushirikiano mzuri kwa serikali yake
NI UWANJA WA KUTENGENEZA AJIRA KWA VIJANA NA KUWAWEZESHA KIUCHUMI, PAMOJA NA KUWABORESHEA WASTAAFU MAISHA YAO
Thursday, May 27, 2021
Monday, May 24, 2021
UBUNIFU WENYE MATOKEO CHANYA
Uwanja wa vijana umebuni njia mpya ambayo inaweza kuziondoa changamoto zinazo wakumba vijana na watanzania Mfano ajira,kilimo,biashara,hali ngumu ya maisha,mfumuko wa bei za vitu mbalimbali,n.k
Thursday, May 13, 2021
PONGEZI KWA SERIKALI
Uwanja wa vijana unaipongeza serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kulifanyia upya swala la wamachinga kufanya biashara zao bila mpangilio kwani imekuwa kero sana,kwani hata familia isiyo na mpangilio ukiowa au kuolewa nayo utajuta,kufanya biashara haikatazwi Ila kwa hili limefika mwisho japo wengine wasio na jicho LA tatu watalaumu nibora lawama kuliko mathara yanayo jitokeza na yatakayo jitokeza hasa kwa jiji LA Dar,es salaamu Mimi nipo hapa kwa mda was miaka 26 iliyo pita
Wednesday, May 5, 2021
PONGEZI KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSANI KUHUTUBIA BUNGE LA KENYA
Uwanja wa vijana unakupongeza sana kwa hutuba yako ni nzuri sana kwani nimekusikiliza moja kwa moja kupitia mtandao mpaka mwisho uwanja wa vijana unakutakia maisha marefu ili watanzania tuinuke kiuchumi mungu akubariki sana
Monday, May 3, 2021
PONGEZI KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Uwanja wa vijana unakupongeza sana kwa kazi yako nzuri na inautofauti kwani Nina uhakika watanzania tutafanikiwa kiuchumi kwani MTU yoyote ambaye anataka kufanikiwa lazima avijue vikwazo na ajue jinzi ya kuviondoa na nawahimiza watanzani wenzangu tumuunge mkono Rais wetu ila nawahimiza sana vijana wafanye kazi kwani nuru imengia Tanzania