Friday, September 17, 2021

KUWAONDOA WAMACHINGA

 Uwanja wa vijana unayo njia nzuri inayoweza ikatumika katika KUWAONDOA WAMACHINGA  wanaofanya biashara sehemu zisizo husika na ikabaki historian Kama ilivyo toweka mifuko ya Rambo Tanzania

Thursday, September 16, 2021

PONGEZI KWA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM

 Uwanja wa vijana unakupongeza Sana kwa kazi zako unazo zifanya kwani maono uliyo nayo Nina uhakika Dar es salaam itarudi katika ubora wake na maneno yako yamenyooka tofauti na wengine wanapindisha maneno uwanja wa vijana unakuunga mkono na mungu akubariki sana

Thursday, September 2, 2021

UGUMU WA MAISHA

 Kuna baathi ya vijana wanalalamika kuwa MAISHA ni magumu ukiwauza wanamipango yoyote ya kuondoa UGUMU wanasema hawana ukiwauliza wanajishughurisha na kazi gani hawafanyi kazi yoyote ila ukiwangalia  wana simu za Bei kubwa pia watu hao wakipata kazi wanakuwa sio waminifu wanapenda mafanikio ya haraka Sasa nawauliza swali ni mwajiri gani anaye taka kuharibiwa mipango yake na mfanya kazi? vijana badirikeni MAISHA malaini yapo na MAISHA magumu yapo ni wewe kuchagua

MSICHANA ANAWEZA AKAENDESHA MAISHA BILA YA KUMTEGEMEA MWANAUME

 Uwanja wa vijana umegundua kuwa mwanamke ANAWEZA kuendesha MAISHA yake bila ya KUMTEGEMEA MWANAUME muradi yeye akiamua na kujipanga nakupanga Mambo yake vizuri,kwani mtu yoyote akiwa tegemezi anaingia kwenye kifungo Cha utumwa na kufifisha maono na ndoto aliyekuwa nayo mtu huyo, mwisho wake ni kuwa masikini na kuwa kwenye majuto maishani mwake labda umpate mtu anayeweza akakuunga mkono maono yako lakini niwachache sana hayo yote yanategemeana na kile unachokiamini wewe