Wednesday, April 28, 2021

KUTOFANIKIWA KWA VIJANA WA KITANZANI

 Vijana wa kitanzania wengi wanashindwa kufanikiwa kimaisha  kwa sababu wanapenda sana pesa kuliko kazi na hata ukimpa mshahara wake bado atatafuta njia za kuchakachua,pia swala LA kujituma hawezi mpaka umsimamie,swala LA ku wai kazini atawai Siku ile ya kwanza tu baada ya hapo ni malalamiko na visingizio haviishi baadae utamsikia kazi mbaya,mshahara mdogo,bosi anazingua ,swala la uwaminifu hawana kwa %95 ukimwamini tu kakuacha nk swali kwa vijana kazi na mshahara kipi cha kwanza?

Sunday, April 25, 2021

KAZI YA KUJITOLEA KWA SERIKALI

 Uwanja vijana unaomba nafasi ya kazi ya kujitolea kwa sehemu zifutazo

1.kuzuia mifereji yote inayo pitisha utevu was pesa kwenye mabasi ya mwendo kasi

2.kupunguza kwa kasi vijana kuingia mjini

3.njia ambazo zinaweza kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula nchini

4.kupunguza ugumu wa biashara nchini 

5.kupunguza tatizo LA ajira kwa vijana nchini

Tuesday, April 20, 2021

MABASI YA MWENDOKASI

 Uwanja wa vijana umegundua jinsi hela zinavyo potea kwenye mabasi ya mwendokasi na  najua jinsi ya kuzuia upotevu huo

Sunday, April 18, 2021

MFUMUKO WA BEI WA VITU

 Uwanja wa vijana umegundua vyanzo mbalimbali vinavyo sababisha vitu kupanda bei na pia umegundua njia mbalimbali ambazo zikitumika zitamaliza mfumuko wa being nchini kuanzia

1.mafuta ya kula

2.sukari

3.mazao ya chakula nk

MAMBO MUHIMU KWA VIJANA WA KITANZANIA

 Uwanja wa vijana umegundua mambo mapya na muhimu ambayo yakifanyiwa kazi vijana wa kitanzania wataondokana na  

1.tatizo LA ajira

2.vijana kukimbilia mjini

3.vijana waweze kujiajiri wanapo maliza masomo yao

4.vijana waweze kumiliki uchmi

Wednesday, April 7, 2021

JE?UNAMJUA RAIS ALIYE WEKA HISTORIA TANZANIA?

 Rais aliye weka historia tangu nchi ipate Uhuru wake mwaka 1961  ni  Rais Samia Suluhu Hassani -mama yetu mpendwa mwenye kuona mbali kama ndege tai Uwanja wa vijana unakupongeza sana na mungu akubariki sana tunaimani na wewe sana na Tanzania itakuwa mpya zaidi kwani kazi yako ni nzuri sana matunda tumeanza kuyaona mapema tangu uanze kutu tumikia wananchi  tarehe 19,mach,2021

Sunday, April 4, 2021

UGUMU WA MAISHA KWA VIJANA WA KITANZANIA UNATOKANA NA WAO WENYEWE

 Uwanja was vijana umegundua njia ambazo kijana wa kitanzania anaweza akazitumia ili maisha yake yakawa mepesi sana kuliko aliyo nayo sasa

Friday, April 2, 2021

WAMACHINGA KUKAA BILA MPANGILIO NI HATARI KWA UCHUMI

 Uwanja wa vijana umeona kitu ambacho kinaweza kikatokea mbele kwa wamachinga wanavyokaa bila mpangilio wakifanya shughuri zao pia uwanja wa vijana umegundua njia inayo weza ikatumika kuwaondoa wamachinga 

Thursday, April 1, 2021

NANI KAMA MAMA?

-Hakuna kama mama duniani

-Vyovyote alivyo mama no mama

-Hakuna mama bandia

1.UPANDE WA MAFANIKIO

-Hakuna mwaume aliyefanikiwa bila kuwepo mwamke nyuma take

-Mwanamke anaweza bila kuwezeshwa Bali mradi apewe nafasi

-Mungu alimuamini mwanamke kubeba mimba miezi 9

-Ili mtu ufanikiwe mambo yako hapa duniani lazima msikilize mama

2.MAMBO YA NDOA

-mwanamke yupo tayari kuomba msamaha kwa mwenzake kuliko mwanaume

-mama yupo tayari kufa na mwanae lakini baba hayupo tayari

-Wanaume wengi wanakufa mapema kuliko wanawake kwasababu wana yabeba mambo mengi moyoni kuliko wanawake

-