Monday, May 20, 2024

SWALA LA KUOLEWA

uwanja wa vijana umegundua swala la kuolewa au kuto olewa lipo mikononi mwa mtu mwenyewe ila usije ukatamani kuelewa kwa kukurupuka kwani ni bora kuchelewa kuriko ukawai na ukakutana na mume asiyejua wajibu wake kwa mke kwani sio kila mwanaume anafaa kuwa mume wa mtu kila mtu hapa duniani anamtu wake kuwa

KUVUNJIKA KWA NDOA ZA VIJANA NCHINIJ

uwanja wa vijana umegundua kuwa ndoa za vijana nchini kuvunjika kunatokana na vijana wa kiume kuowa.wake.ambao hawana.sifa.za.kuwa.mke.na.kingine.vijana.wa.kiume.wanakuwa.hawajaamua kuowa kutoka moyoni na hata wakimpata mke sahihi bado wanahuwa hawana msimamo kwani mwanamke anatengenezwa ni wewe kuamua.moja kwani talaka sio jibu ya tatizo bali ni kuongeza tatizo

HABARI NJEMA KWA VIJANA

uwanja wa vijana umegundua mkwamo wa vijana katika swala la ajira linasababishwa na kijana mwenyewe kwani kijana akiamua kubadirika yeye na kubadirisha mtizamo na marafiki mafanikio lazima utayaona