Monday, December 23, 2024

KUVUNJIKA KWA NDOA ZA VIJANA

Uwanja wa vijana umegundua kuwa ndoa nyingi za vijana zinavunjika kwa sababu hawaoi.bali.wanaona,wavurana wengi wanao wake za watu.na.wasichana.wanaolewa.na.wanaume.ambao.hawa.wapendi

Friday, December 13, 2024

KUZAA SIO KUPATA

Watu wengi wanajitahidi kizaaa watoto.ili waje kuwasaidia nawambia.kuwa.wafute.mawazo.hayo.kwani.wewe.timiza.wajibu.kama.mzazi.kwa.mtoto.wako.akikusaidia.sawa.asipokusaidia.sawa.cha.msingi jipambanie.mwenyewe

Wednesday, December 11, 2024

FAIDA NA HASARA ZA MIKOPO

Uwanja wa vijana umegundua kuwa watu wengi 90% wanaochukua mikopo wanakuwa hawajui kitu wanachoenda kukifanyia mkopo husika na wengi wanakuwa hawana uwezo wa kufikilia.pia.hawana.elimu.ya.mkopo.na.mradi.wenyewe.je.wewe.unataka.ufanikiwe.kupitia.mkopo.0717496644

KUFILISIKA KWA WATU WENGI

Uwanja vijana umegundua.kuwa watu wengi wanafirika na wataendelea kufilisika kwa kukosa mambo 4 kwenye biashara zao je.wewe untaka usifirisike?nitafute nitakusaidia bure 0717496644

Tuesday, December 10, 2024

DAR ES SALAAM

Uwanja wa vijana umeona kuongezeka kwa msongamano wa magari usipo fanyiwa kazi kwa haraka mambo mengi ya kiuchumi hayataweza kufanikiwa

UMASIKINI NI WAKUJITAKIA

Uwanja wa vijana umegundua kwamba mtu yoyote akiwa masikini ujue amejitakia yeye mwenyewe kwani hakuna mtu anaye zaliwa na utajiri au umasikini ukiwakusanya.matajiri.na.masikini.ukuuliza.swali.moja.majibu.yatatofutina.sana.na.unaweza.ukashangaa.majibu.ya.masikini.yatashabiana.nao.matajiri.yatashabiana.

Monday, November 25, 2024

MANABII WA SASA

Uwanja wa vijana umegundua kuwa kunawatu wanajiita manabii na wanasema vitu vibaya tu kuwa vitatokea mbona hawatabiri vitu vizuri au wamekosa kazi za kufanya?

Tuesday, November 12, 2024

TRA MUPO MACHO

uwanja wa vijana umegundua kuwa kuna vyombo.vinatembea barabarani havina bima wala mapato na vinabeba mizigo ya biashara na singing vimefungwa injini ya pikipiki kama bajaji.ya.umeme.inalipa.kwanini.vingine.visilipe.pikipiki.inalipa.na.thamani.zake.nI.sawa.milioni.3.5 nk

Wednesday, November 6, 2024

TRENI YA UMEME(SGR) KUZUIA HATARI YA KUFIRISIKA

Uwanja wa vijana umeona kuwepo kwa uwezekano mkubwa wa kufirisika kwa treni la (sgr)kwani kuna watu hawapigi hela ila uwanja vijana unaomba kazi ya kujitolea bure kulinda sgr isije ikafirika kabla ya marengo hayajafikia

Friday, October 25, 2024

UMASIKINI NA MKOA

Uwanja wa vijana umegundua mkoa ambao unaweza ukaleta umasikini ni mkoa wa DAR ES SALAM kwani ni mkoa mdogo kuriko mikoa yote Tanzania piano ni mkoa wenye idadi kubwa ya watu pia ni hatari kwa maendeleo

Sunday, June 30, 2024

UFUMBUZI WA MGOMO WA WAFANYA BIASHARA KARIAKO

uwanja wa vijana umepata majibu ya migomo ya wafanyabiashara kariakoo na tanzania kwa ujumla

Tuesday, June 18, 2024

HONGERA MAKONDA

uwanja wa vijana unakupongeza sana kwa kazi nzuri unayo ifanya ipo siku utavishwa taji nasi tunakuunga mkono

Monday, May 20, 2024

SWALA LA KUOLEWA

uwanja wa vijana umegundua swala la kuolewa au kuto olewa lipo mikononi mwa mtu mwenyewe ila usije ukatamani kuelewa kwa kukurupuka kwani ni bora kuchelewa kuriko ukawai na ukakutana na mume asiyejua wajibu wake kwa mke kwani sio kila mwanaume anafaa kuwa mume wa mtu kila mtu hapa duniani anamtu wake kuwa

KUVUNJIKA KWA NDOA ZA VIJANA NCHINIJ

uwanja wa vijana umegundua kuwa ndoa za vijana nchini kuvunjika kunatokana na vijana wa kiume kuowa.wake.ambao hawana.sifa.za.kuwa.mke.na.kingine.vijana.wa.kiume.wanakuwa.hawajaamua kuowa kutoka moyoni na hata wakimpata mke sahihi bado wanahuwa hawana msimamo kwani mwanamke anatengenezwa ni wewe kuamua.moja kwani talaka sio jibu ya tatizo bali ni kuongeza tatizo

HABARI NJEMA KWA VIJANA

uwanja wa vijana umegundua mkwamo wa vijana katika swala la ajira linasababishwa na kijana mwenyewe kwani kijana akiamua kubadirika yeye na kubadirisha mtizamo na marafiki mafanikio lazima utayaona