Uwanja wa vijana unakupongeza sana kwa kazi zako nzuri unazo zifanya tunakuombea kwa mungu akulinde akupe hekima kwa kila jambo utakalo liamua tunajua kazi ya uongozi sio kazi nyepesi lakini tunaona unatuongoza vizuri hata hutuba zako vinamvutia mtu aendelee kukusikiliza
NI UWANJA WA KUTENGENEZA AJIRA KWA VIJANA NA KUWAWEZESHA KIUCHUMI, PAMOJA NA KUWABORESHEA WASTAAFU MAISHA YAO
Wednesday, June 30, 2021
Saturday, June 5, 2021
WAMACHINGA NI HATARI KWA UCHUMI
Uwanja wa vijana umegundua mambo mengi yaliyo jificha ndani ya biashara ya wamachinga .1,kunawatu wanajifanya wamchinga wakati wanamitaji mikubwa na wanakwepa kulipa kodi ya serikali,2.kuna watu wamezifunga njia za watembea kwa miguu,watu wanapi barabarani,3.kuna watu wamejenga mabanda kumbe nyumba za kuishi,4.kuna watu wanalipa kodi serikalini lakini maduka yao yamezibwa na wamachinga na hawauuzi vitu vyao mimi.swali langu serikali itapaje kodi yake?
Subscribe to:
Posts (Atom)