Tuesday, February 11, 2025

TASAFFU INAMSAADA?

Uwanja.wa.vijana.umegundua.kuwa msaada unaotolewa na Tasaffu kwa kaya masikini ni amsaada mkubwa ila watu hawajui njia za kuondokana na umasikini ila wao wana amini kuwa hawawezi kuondokana na umasikini walio nao kumbe umasiki wa mtu ni mtu mwenyewe kuwa na mawazo hasi badala ya chanya baathi yao msaada huo hauwasaidii bali unaendelea kuwatia umasikini kutokana na wao hawapo tayari kubadirika

No comments:

Post a Comment