NI UWANJA WA KUTENGENEZA AJIRA KWA VIJANA NA KUWAWEZESHA KIUCHUMI, PAMOJA NA KUWABORESHEA WASTAAFU MAISHA YAO
Wednesday, June 4, 2025
TRA NAWAPONGEZA WA HILI
Uwanja wa vijana unawapongeza TRA kwa kuamua kila anayefanya.biashara.alipe.kodi.kariakoo.isipo.pangwa.upya.watu.wengine.hawataripa.kodi.kuna.baarhi.ya.watu.wanalipa.kodi.lakini.hela.zinaishia.mikononi.mwa.wajanja.zaidi.ya.milioni 20000.kwa.siku.zinapotea.zinaingia.mifukoni.mwa.watu.pia.na.jiji.la.dare es salaam linapoteza zaidi ya milioni 20 kwa siku nazo zinaishia kwa wajanja chunguzeni majibu.mutapata.majibu.yangu.ninayo
Monday, June 2, 2025
DAR E S SALAAM NI HATARI KWA MAENDELEO YA VIJANA TANZANIA
Uwanja wa vijana umegunduwa ya kuwa mkoa wa Dar es salaam ndio unapokea vijana wengi kuriko mikoa yote.ya Tanzania hivyo maisha yao yatakuwa ni magumu sana dawa yake ninayo
Tuesday, May 13, 2025
MSONGAMANO WA MAGARI JIJI LA DAR ES SALAAM
Uwanja wa vijana ulitoa waxo la kupunguxa msongamano wa magari mwaka 2014 lakina kuna watu walilichukuwa wazo rangu na kulifanyia kazi ila hadi leo wajapata ufumbuzi wa jambo hilo ila uwanja wa Vijana unao majibu wa jambo hilo
TATIZO LA ONGEZEKO LA WATU JIJI LA DAR ES SALAAM
Uwanja wa vijana umegundua.ya kuwa kama swala la kupunguza watu kuja njini lisipo angariwa kwa jicho la tatu hasa vijana umasikini.utaongezeka.nchini.Uwanja.wa.vijana.unayo.njia.ya.kupunguza.vijana.mjini
Tuesday, February 11, 2025
TASAFFU INAMSAADA?
Uwanja.wa.vijana.umegundua.kuwa msaada unaotolewa na Tasaffu kwa kaya masikini ni amsaada mkubwa ila watu hawajui njia za kuondokana na umasikini ila wao wana amini kuwa hawawezi kuondokana na umasikini walio nao kumbe umasiki wa mtu ni mtu mwenyewe kuwa na mawazo hasi badala ya chanya baathi yao msaada huo hauwasaidii bali unaendelea kuwatia umasikini kutokana na wao hawapo tayari kubadirika
Tuesday, January 21, 2025
MAMBO MAGUMU
Uwanja wa vijana umegundu kuwa watu wengi hawajui sababu zinazo.sababisha mambo yawe magumu kuanzia mf=ndoa,biashara,kazi,maisha,uchumba,kuvunjika kwa ndoa,kutopatikana suluhisho la msongamano wa magari jiji ĺa dar es salaam,,vijana kukimbilia mjini,tatizo la ajira kwa vijana uwanja wa vijana unao majibu
Subscribe to:
Posts (Atom)