Uwanja wa vijana utakusaidia bure kwa mambo yafuatayo ili mtu asije akapata hasara katika biashara yake kabla haijaanzishwa au imeanzishwa tayari baadhi ya mambo yenyewe ni haya yafuatayo;
1. kubuniwa mradi au biashara ambao hautaweza kukupa hasara.
2. Kukutafutia sehemu ya kuweka mradi wako au biashara yako.
3. Kukufanyanyia mchanganuo wa mradi au biashara yako.
4. Kukupa majibu au muelekeo wa biashara yako au mradi wako kama upo hai au umekufa.
5. Kukufanyia mchanganuo wa mkopo unaohitajika kwenye biashara yako au mradi wako ili usije ukapata hasara katika marejesho yako.
6. Kukuelezea mambo ya kuzingatia kuyafanya kabla hujaanzisha biashara au mradi.
7. Tutakusaidia kurasimisha (kusajili) mradi wako au biashara yako.
8. Tutakusimamia biashara au mradi wako na tutakupa ushahuri bure kabisa ndani ya miezi sita ya mwanzo.
9. Tutakusaidia kukutafutia soko la bidhaa zako.
10. Tutakukagulia huduma yako kama inaviwango vinavyohitajika au haina viwango.
11. Tutakusaidia kukupa mbinu za kushinda kwenye soko la ushindani katika eneo unalofanyia biashara au mradi.