Wednesday, June 4, 2025

TRA NAWAPONGEZA WA HILI

Uwanja wa vijana unawapongeza TRA kwa kuamua kila anayefanya.biashara.alipe.kodi.kariakoo.isipo.pangwa.upya.watu.wengine.hawataripa.kodi.kuna.baarhi.ya.watu.wanalipa.kodi.lakini.hela.zinaishia.mikononi.mwa.wajanja.zaidi.ya.milioni 20000.kwa.siku.zinapotea.zinaingia.mifukoni.mwa.watu.pia.na.jiji.la.dare es salaam linapoteza zaidi ya milioni 20 kwa siku nazo zinaishia kwa wajanja chunguzeni majibu.mutapata.majibu.yangu.ninayo

Monday, June 2, 2025

DAR E S SALAAM NI HATARI KWA MAENDELEO YA VIJANA TANZANIA

Uwanja wa vijana umegunduwa ya kuwa mkoa wa Dar es salaam ndio unapokea vijana wengi kuriko mikoa yote.ya Tanzania hivyo maisha yao yatakuwa ni magumu sana dawa yake ninayo