NI UWANJA WA KUTENGENEZA AJIRA KWA VIJANA NA KUWAWEZESHA KIUCHUMI, PAMOJA NA KUWABORESHEA WASTAAFU MAISHA YAO
Monday, December 23, 2024
KUVUNJIKA KWA NDOA ZA VIJANA
Uwanja wa vijana umegundua kuwa ndoa nyingi za vijana zinavunjika kwa sababu hawaoi.bali.wanaona,wavurana wengi wanao wake za watu.na.wasichana.wanaolewa.na.wanaume.ambao.hawa.wapendi
Friday, December 13, 2024
KUZAA SIO KUPATA
Watu wengi wanajitahidi kizaaa watoto.ili waje kuwasaidia nawambia.kuwa.wafute.mawazo.hayo.kwani.wewe.timiza.wajibu.kama.mzazi.kwa.mtoto.wako.akikusaidia.sawa.asipokusaidia.sawa.cha.msingi jipambanie.mwenyewe
Wednesday, December 11, 2024
FAIDA NA HASARA ZA MIKOPO
Uwanja wa vijana umegundua kuwa watu wengi 90% wanaochukua mikopo wanakuwa hawajui kitu wanachoenda kukifanyia mkopo husika na wengi wanakuwa hawana uwezo wa kufikilia.pia.hawana.elimu.ya.mkopo.na.mradi.wenyewe.je.wewe.unataka.ufanikiwe.kupitia.mkopo.0717496644
KUFILISIKA KWA WATU WENGI
Uwanja vijana umegundua.kuwa watu wengi wanafirika na wataendelea kufilisika kwa kukosa mambo 4 kwenye biashara zao je.wewe untaka usifirisike?nitafute nitakusaidia bure 0717496644
Tuesday, December 10, 2024
DAR ES SALAAM
Uwanja wa vijana umeona kuongezeka kwa msongamano wa magari usipo fanyiwa kazi kwa haraka mambo mengi ya kiuchumi hayataweza kufanikiwa
UMASIKINI NI WAKUJITAKIA
Uwanja wa vijana umegundua kwamba mtu yoyote akiwa masikini ujue amejitakia yeye mwenyewe kwani hakuna mtu anaye zaliwa na utajiri au umasikini ukiwakusanya.matajiri.na.masikini.ukuuliza.swali.moja.majibu.yatatofutina.sana.na.unaweza.ukashangaa.majibu.ya.masikini.yatashabiana.nao.matajiri.yatashabiana.
Subscribe to:
Posts (Atom)