NI UWANJA WA KUTENGENEZA AJIRA KWA VIJANA NA KUWAWEZESHA KIUCHUMI, PAMOJA NA KUWABORESHEA WASTAAFU MAISHA YAO
Monday, November 25, 2024
MANABII WA SASA
Uwanja wa vijana umegundua kuwa kunawatu wanajiita manabii na wanasema vitu vibaya tu kuwa vitatokea mbona hawatabiri vitu vizuri au wamekosa kazi za kufanya?
Tuesday, November 12, 2024
TRA MUPO MACHO
uwanja wa vijana umegundua kuwa kuna vyombo.vinatembea barabarani havina bima wala mapato na vinabeba mizigo ya biashara na singing vimefungwa injini ya pikipiki kama bajaji.ya.umeme.inalipa.kwanini.vingine.visilipe.pikipiki.inalipa.na.thamani.zake.nI.sawa.milioni.3.5 nk
Wednesday, November 6, 2024
TRENI YA UMEME(SGR) KUZUIA HATARI YA KUFIRISIKA
Uwanja wa vijana umeona kuwepo kwa uwezekano mkubwa wa kufirisika kwa treni la (sgr)kwani kuna watu hawapigi hela ila uwanja vijana unaomba kazi ya kujitolea bure kulinda sgr isije ikafirika kabla ya marengo hayajafikia
Subscribe to:
Posts (Atom)