Wednesday, October 16, 2019

WAKULIMA... WAKULIMA


Uwanja wa vijana umegungua njia mpya  ambazo zitasaidia wakulima wapate masoko ya mazao yao na kupeleka popote duniani  sio kama hivi sasa mazao ya wakulima yanaozeea mashambani na masokoni  na kuwavunja moyo wakulima na kuwanufaisha madalali.

Monday, October 7, 2019

TANZANIA TANZANIA


WAZAZI WAZAZI

Uwanja umegundua njia mpya ambayo inaweza kusaidia kumrekebisha motto mtukutu tabia

TANESCO TANESCO

Uwanja wa vijana umegundua njia mpya ya kumaliza tatizo la wizi wa mafuta ya transifoma mikoa yote ya Tanzania

TANZANIA TANZANIA

Uwanja wa vijana umegundua njia mpya ya kulimaliza swala panya road nchini na wezi wa miundombinu ya barabara vikiwemo vyuma na alama za barabarani.

GARI ZA MWENDO KASI DAR ES SALAAM


Uwanja wa vijana ugundua jinsi ya mapato yanavyo potea kwenye mwendo kasi mamilioni kwa mwezi
Hasa yatakavyo potea kwenye ruti ya mbagala ikianza.
 Pia uwanja wa vijana unazonjia zakutumia ili kuzui upotevu huo

TANGAZO KWA WAFANYA BIASHARA KWA TRA.


a. Zijue faida za kulipa kodi  TRA
b. zijue hasara za kutolipa kodi TRA
c. Jua jinsi ya kupangilia biashara yako ili ujue jinsi ya kulipa kodi.

Na jua jinsi ya kupangilia biashara yako ili ulipe kudi bila kujitia hasara mwenyewe

MADALALI MADALALI

uwanja wa vijana unashirikiana na Madalali wa aina mbalimbali kama vile;

1. Viwanja
2. Nyumba
3. Vyumba
4. Magari
5. Bajaji.
6. Pikipiki.

Kazi zetu zinafanywa tofauti na madalali wengine sisi kazi kwanza malipo baadaye.